CBC Grade 3 Kiswahili Opener Exam Term 3 2026 · Question 7
SEHEMU YA 3: UFAHAMU Ufahamu 1 1. Ni mwalimu yupi anafunza uraia na maadili katika shule iliyotajwa?
From Kiswahili — Term 3 Opener Exams 2026 · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu
Ufahamu 1
Soma ufahamu huu kisha ujibu maswali.
Mwalimu Nyongesa anatufundisha uraia na maadili katika shule yetu ya Msingi Bora. Siku moja aliwataka wanafunzi wa darasa la tatu kueleza vipaji walivyonavyo. Kila mwanafunzi alipewa nafasi ya kujieleza. Amina na Jalima walisema kuwa wangeweza kuchora vizuri sana. Mwalimu aligundua Amina na Jalima ni hodari wa kuchora. Sara na Musa walijitokeza na kusema wangeweza kuimba vizuri sana. Miami na Zubera walisema kwamba wao wangeweza kucheza mpira wa miguu kwa ustadi. Hii ilimfahamisha Mwalimu Nyongesa kuwa wanafunzi wake walikuwa na vipaji tofauti. Baada ya hapo, aliweka mipango ya kukuza vipaji vya wanafunzi wake. Aliwasihi kila mmoja atie bidii katika kukuza kipaji alichokuwa nacho.
SEHEMU YA 3: UFAHAMU
Ufahamu 1
1. Ni mwalimu yupi anafunza uraia na maadili katika shule iliyotajwa?
Answer
Mwalimu Nyongesa
Ufahamu unasema: Mwalimu Nyongesa.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 3 Kiswahili questions from this test
- Hawa wanafunzi wanasomea shule gani?Question 8
- Taja wanafunzi walio na uwezo wa kuchora.Question 9
- Sara na Musa wana kipaji cha kufanya nini?Question 10
- Miami alisema kuwa angeweza kucheza mpira na nani?Question 11
- Ufahamu 2 1. Rafiki yake Nuru ni ___.Question 12
- Watoto hawa wanasoma darasa gani?Question 13