naQonda

CBC Grade 3 Kiswahili Opener Exam Term 3 2026 · Question 9

Taja wanafunzi walio na uwezo wa kuchora.

From Kiswahili — Term 3 Opener Exams 2026 · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu

Ufahamu 1
Soma ufahamu huu kisha ujibu maswali.

Mwalimu Nyongesa anatufundisha uraia na maadili katika shule yetu ya Msingi Bora. Siku moja aliwataka wanafunzi wa darasa la tatu kueleza vipaji walivyonavyo. Kila mwanafunzi alipewa nafasi ya kujieleza. Amina na Jalima walisema kuwa wangeweza kuchora vizuri sana. Mwalimu aligundua Amina na Jalima ni hodari wa kuchora. Sara na Musa walijitokeza na kusema wangeweza kuimba vizuri sana. Miami na Zubera walisema kwamba wao wangeweza kucheza mpira wa miguu kwa ustadi. Hii ilimfahamisha Mwalimu Nyongesa kuwa wanafunzi wake walikuwa na vipaji tofauti. Baada ya hapo, aliweka mipango ya kukuza vipaji vya wanafunzi wake. Aliwasihi kila mmoja atie bidii katika kukuza kipaji alichokuwa nacho.

3. Taja wanafunzi walio na uwezo wa kuchora.

Answer

Amina na Jalima

Ufahamu unasema: Amina na Jalima.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 3 Kiswahili questions from this test