CBC Grade 3 Kiswahili End Term 2 Exam 2026
Kiswahili — Term 2 End Term Assessment 2026 · Term 2 End Term Assessment 2026 · 31 questions
Topics: Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma, Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kuandika.
All 31 questions with answers
- Question 1: KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA a) Duka ni nini?Answer: Duka ni mahali pa kununua na kuuza bidhaa.
- Question 2: b) Muuzaji ni nani?Answer: Muuzaji ni mtu anayeuza bidhaa.
- Question 3: c) Mnunuzi ni nani?Answer: Mnunuzi ni mtu anayenunua bidhaa.
- Question 4: d) Taja bidhaa mbili zinazopatikana dukani.Answer: Sukari na unga.
- Question 5: KUSOMA KWA SAUTI Soma hadithi ifuatayo kwa sauti:Answer: Baraka na nduguye Bahati walienda sokoni. Walinunua mapera. Upepo ulivuma kwa kasi na mawingu yakawa meusi.…
- Question 6: UFAHAMU a) Ni nani alimtembelea mjomba Juma?Answer: Katana
- Question 7: b) Ni mnyama gani alipewa Katana?Answer: ndama
- Question 8: c) Katana alimpa ndama jina gani?Answer: Cheusi
- Question 9: d) Taja njia mbili za kumtunza ndama: i) ii)Answer: kumpa chakula cha kutosha na maji safi
- Question 10: USHAIRI a) Ni nani anapenda vyakula vya protini?Answer: Rei
- Question 11: b) Taja chakula kimoja cha wanga.Answer: wali
- Question 12: c) Ni nani anapenda vyakula vya vitamini?Answer: Baba
- Question 13: d) Ni nani hutukumbusha kula lishe bora?Answer: Shangazi
- Question 14: e) Taja chakula kimoja cha protini unachopenda.Answer: mayai
- Question 15: Panga herufi hizi kwa mpangilio sahihi wa alfabeti: d, c, h, g, f, eAnswer: c, d, e, f, g, h
- Question 16: Tenganisha silabi za neno hili: tafadhaliAnswer: ta-fa-dha-li
- Question 17: AKIFISHAJI Andika sentensi ifuatayo kwa usahihi: mwezi wa februari una siku chacheAnswer: Mwezi wa Februari una siku chache.
- Question 18: MATUMIZI YA MANENO Tumia maneno haya kukamilisha sentensi: (Jembe, Ufagio, Shoka) a) ___ hutumiwa kupasua kuni.Answer: C. Shoka
- Question 19: b) ___ hutumiwa kufagia nyumba.Answer: B. Ufagio
- Question 20: c) ___ hutumiwa kulima.Answer: A. Jembe
- Question 21: MSAMIATI Andika jina la picha iliyoonyeshwa. a)Answer: sarafu
- Question 22: b)Answer: noti
- Question 23: Chagua jibu sahihi: a) Kitambaa ___ ni kile. (kieupe, jeupe, cheupe)Answer: C. cheupe
- Question 24: b) Magari ___ yamenunuliwa. (vyeusi, meusi, weusi)Answer: B. meusi
- Question 25: c) Rangi ___ imemwagika. (nyekundu, chekundu)Answer: A. nyekundu
- Question 26: Unda maneno kwa kutumia sauti hizi: a) mbw ___Answer: mbwa
- Question 27: b) dh ___Answer: dhahabu
- Question 28: c) ch ___Answer: chai
- Question 29: d) th ___Answer: thelathini
- Question 30: Hii ni alama gani? ? (kikomo, koma, kiulizi)Answer: C. kiulizi
- Question 31: KUANDIKA Andika sentensi tano kuhusu mada ifuatayo: NYUMBANI KWETUAnswer: Nyumbani kwetu ni pazuri. Tuna nyumba kubwa. Ninaishi na baba, mama na dada yangu. Tuna ng'ombe na kuku.…