naQonda

CBC Grade 3 Kiswahili End Term 2 Exam 2026 · Question 12

c) Ni nani anapenda vyakula vya vitamini?

From Kiswahili — Term 2 End Term Assessment 2026 · 1 mark · Topic: Kusoma, Ushairi

Soma shairi lifuatalo kisha ujibu maswali:

Mimi Rei napenda pojo,
Mayai, maziwa na nyama,
Hivi ni vyakula vya protini.

Mama hupenda uji wa mtama,
Pia wali na chapati,
Hivi ni vyakula vya wanga.

Baba hupenda parachichi,
Pamoja na mchicha,
Hivi ni vyakula vya vitamini.

Shangazi hutuambia kila siku,
Tule vyakula vya protini, wanga na vitamini,
Hiyo ndiyo lishe bora.

c) Ni nani anapenda vyakula vya vitamini?

Answer

Baba

Baba hupenda parachichi na mchicha, vyakula vya vitamini.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 3 Kiswahili questions from this test