naQonda

CBC Grade 3 Kiswahili End Term 2 Exam 2026 · Question 11

b) Taja chakula kimoja cha wanga.

From Kiswahili — Term 2 End Term Assessment 2026 · 1 mark · Topic: Kusoma, Ushairi

Soma shairi lifuatalo kisha ujibu maswali:

Mimi Rei napenda pojo,
Mayai, maziwa na nyama,
Hivi ni vyakula vya protini.

Mama hupenda uji wa mtama,
Pia wali na chapati,
Hivi ni vyakula vya wanga.

Baba hupenda parachichi,
Pamoja na mchicha,
Hivi ni vyakula vya vitamini.

Shangazi hutuambia kila siku,
Tule vyakula vya protini, wanga na vitamini,
Hiyo ndiyo lishe bora.

b) Taja chakula kimoja cha wanga.

Answer

wali

Vyakula vya wanga katika shairi ni uji wa mtama, wali na chapati.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 3 Kiswahili questions from this test