CBC Grade 3 Kiswahili End Term 2 Exam 2026 · Question 13
d) Ni nani hutukumbusha kula lishe bora?
From Kiswahili — Term 2 End Term Assessment 2026 · 1 mark · Topic: Kusoma, Ushairi
Soma shairi lifuatalo kisha ujibu maswali:
Mimi Rei napenda pojo,
Mayai, maziwa na nyama,
Hivi ni vyakula vya protini.
Mama hupenda uji wa mtama,
Pia wali na chapati,
Hivi ni vyakula vya wanga.
Baba hupenda parachichi,
Pamoja na mchicha,
Hivi ni vyakula vya vitamini.
Shangazi hutuambia kila siku,
Tule vyakula vya protini, wanga na vitamini,
Hiyo ndiyo lishe bora.
d) Ni nani hutukumbusha kula lishe bora?
Answer
Shangazi
Shangazi hutuambia kila siku tule lishe bora.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 3 Kiswahili questions from this test
- e) Taja chakula kimoja cha protini unachopenda.Question 14
- Panga herufi hizi kwa mpangilio sahihi wa alfabeti: d, c, h, g, f, eQuestion 15
- Tenganisha silabi za neno hili: tafadhaliQuestion 16
- AKIFISHAJI Andika sentensi ifuatayo kwa usahihi: mwezi wa februari una siku chacheQuestion 17
- MATUMIZI YA MANENO Tumia maneno haya kukamilisha sentensi: (Jembe, Ufagio, Shoka) a) ___ hutumiwa kupasua kuni.Question 18
- b) ___ hutumiwa kufagia nyumba.Question 19