CBC Grade 3 Kiswahili End Term 2 Exam 2026 · Question 10
USHAIRI a) Ni nani anapenda vyakula vya protini?
From Kiswahili — Term 2 End Term Assessment 2026 · 1 mark · Topic: Kusoma, Ushairi
Soma shairi lifuatalo kisha ujibu maswali:
Mimi Rei napenda pojo,
Mayai, maziwa na nyama,
Hivi ni vyakula vya protini.
Mama hupenda uji wa mtama,
Pia wali na chapati,
Hivi ni vyakula vya wanga.
Baba hupenda parachichi,
Pamoja na mchicha,
Hivi ni vyakula vya vitamini.
Shangazi hutuambia kila siku,
Tule vyakula vya protini, wanga na vitamini,
Hiyo ndiyo lishe bora.
4. USHAIRI
a) Ni nani anapenda vyakula vya protini?
Answer
Rei
Shairi linasema: Mimi Rei napenda pojo, mayai, maziwa na nyama.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 3 Kiswahili questions from this test
- b) Taja chakula kimoja cha wanga.Question 11
- c) Ni nani anapenda vyakula vya vitamini?Question 12
- d) Ni nani hutukumbusha kula lishe bora?Question 13
- e) Taja chakula kimoja cha protini unachopenda.Question 14
- Panga herufi hizi kwa mpangilio sahihi wa alfabeti: d, c, h, g, f, eQuestion 15
- Tenganisha silabi za neno hili: tafadhaliQuestion 16