CBC Grade 3 Kiswahili End Term 2 Exam 2026 · Question 9
d) Taja njia mbili za kumtunza ndama: i) ii)
From Kiswahili — Term 2 End Term Assessment 2026 · 2 marks · Topic: Kusoma, Ufahamu
Soma kifungu hiki kisha ujibu maswali:
Katana alimtembelea mjomba wake Juma. Aliwapenda sana ng'ombe wake. Mjomba Juma alimpa Katana ndama. Katana alifurahi na kumpa jina Cheusi.
Mjomba alimwelekeza Katana kumtunza ndama kwa kumpa chakula cha kutosha, maji safi na dawa anapougua. Pia alimwambia kuwa ndama huyo atakapokua atatoa maziwa mengi.
d) Taja njia mbili za kumtunza ndama:
i)
ii)
Answer
kumpa chakula cha kutosha na maji safi
Ndama anatunzwa kwa chakula cha kutosha, maji safi na dawa anapougua.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 3 Kiswahili questions from this test
- USHAIRI a) Ni nani anapenda vyakula vya protini?Question 10
- b) Taja chakula kimoja cha wanga.Question 11
- c) Ni nani anapenda vyakula vya vitamini?Question 12
- d) Ni nani hutukumbusha kula lishe bora?Question 13
- e) Taja chakula kimoja cha protini unachopenda.Question 14
- Panga herufi hizi kwa mpangilio sahihi wa alfabeti: d, c, h, g, f, eQuestion 15