CBC Grade 3 Kiswahili End Term 2 Exam 2026 · Question 7
b) Ni mnyama gani alipewa Katana?
From Kiswahili — Term 2 End Term Assessment 2026 · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu
Soma kifungu hiki kisha ujibu maswali:
Katana alimtembelea mjomba wake Juma. Aliwapenda sana ng'ombe wake. Mjomba Juma alimpa Katana ndama. Katana alifurahi na kumpa jina Cheusi.
Mjomba alimwelekeza Katana kumtunza ndama kwa kumpa chakula cha kutosha, maji safi na dawa anapougua. Pia alimwambia kuwa ndama huyo atakapokua atatoa maziwa mengi.
b) Ni mnyama gani alipewa Katana?
Answer
ndama
Mjomba Juma alimpa Katana ndama.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 3 Kiswahili questions from this test
- c) Katana alimpa ndama jina gani?Question 8
- d) Taja njia mbili za kumtunza ndama: i) ii)Question 9
- USHAIRI a) Ni nani anapenda vyakula vya protini?Question 10
- b) Taja chakula kimoja cha wanga.Question 11
- c) Ni nani anapenda vyakula vya vitamini?Question 12
- d) Ni nani hutukumbusha kula lishe bora?Question 13