naQonda

CBC Grade 3 Kiswahili End Term 2 Exam 2026 · Question 5

KUSOMA KWA SAUTI Soma hadithi ifuatayo kwa sauti:

From Kiswahili — Term 2 End Term Assessment 2026 · 5 marks · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Sauti

Baraka na nduguye Bahati walienda sokoni. Walinunua mapera. Upepo ulivuma kwa kasi na mawingu yakawa meusi. Walihisi baridi na kuanza kurudi nyumbani haraka. Walivaa fulana walipokuwa njiani.
Ghafla, radi ilisikika na mvua ikaanza kunyesha. Bahati aliogopa lakini Baraka alimfariji. Walitumia mwavuli kujikinga. Watu wengine walikimbia barabarani. Baraka alimwita Biko ili ajikinge pia.
Hatimaye, wote walifika nyumbani salama.

2. KUSOMA KWA SAUTI
Soma hadithi ifuatayo kwa sauti:

Answer

Baraka na nduguye Bahati walienda sokoni. Walinunua mapera. Upepo ulivuma kwa kasi na mawingu yakawa meusi. Walihisi baridi na kuanza kurudi nyumbani haraka. Walivaa fulana walipokuwa njiani. Ghafla, radi ilisikika na mvua ikaanza kunyesha. Bahati aliogopa lakini Baraka alimfariji. Walitumia mwavuli kujikinga. Watu wengine walikimbia barabarani. Baraka alimwita Biko ili ajikinge pia. Hatimaye, wote walifika nyumbani salama.

Soma kila neno wazi na usimame kwenye kitone.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 3 Kiswahili questions from this test