CBC Grade 3 Kiswahili End Term 2 Exam 2026 · Question 31
KUANDIKA Andika sentensi tano kuhusu mada ifuatayo: NYUMBANI KWETU
From Kiswahili — Term 2 End Term Assessment 2026 · 5 marks · Topic: Kuandika, Kuandika Sentensi
13. KUANDIKA
Andika sentensi tano kuhusu mada ifuatayo:
NYUMBANI KWETU
Answer
Nyumbani kwetu ni pazuri. Tuna nyumba kubwa. Ninaishi na baba, mama na dada yangu. Tuna ng'ombe na kuku. Ninapenda nyumbani kwetu.
Andika sentensi tano kamili kuhusu nyumbani kwenu: nyumba, watu, wanyama na kazi mnazofanya.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.