CBC Grade 2 Kiswahili Opener Exam Term 2 2026
Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2026 · Term 2 Opener Assessment 2026 · 33 questions
Topics: Kusoma, Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kuandika, Kusikiliza na Kuzungumza.
All 33 questions with answers
- Question 1: UFAHAMU a) Kamila hupenda kusoma ___Answer: B. vitabu
- Question 2: b) Yeye husomea wapi?Answer: B. bustanini
- Question 3: c) Nani huimba kwa sauti nzuri?Answer: B. ndege
- Question 4: d) Hewa ya bustani ni ___Answer: A. safi
- Question 5: e) Kamila hula ___ bustanini.Answer: B. matunda
- Question 6: UFAHAMU a) Nyani alimwona nani?Answer: Kinda
- Question 7: b) Ubawa wa Kinda ulikuwa katika hali gani?Answer: Ulikuwa umevunjika.
- Question 8: c) Nyani alitengeneza nini?Answer: kitanda
- Question 9: d) Nyani alimpa Kinda nini?Answer: A. matunda
- Question 10: e) Kinda alimwambia Nyani nini?Answer: B. Asante
- Question 11: SARUFI Andika sentensi hizi kwa wingi. Mfano: Mbwa wangu – Mbwa wetu a) Chakula changuAnswer: Chakula chetu
- Question 12: b) Dawati languAnswer: Dawati letu
- Question 13: Andika majina ya picha zilizoonyeshwa. a)Answer: mkate
- Question 14: b)Answer: chungwa
- Question 15: Chora vyakula vilivyoagizwa na mwalimu. a. Mayai b. KarotiAnswer: Mayai na karoti vimechorwa.
- Question 16: Tumia "huyo" au "hao" kukamilisha sentensi. a) Wazee ___ wanasoma magazeti.Answer: B. hao
- Question 17: b) Dereva ___ ni mpole.Answer: A. huyo
- Question 18: c) Kuku ___ atachinjwa.Answer: A. huyo
- Question 19: Andika sentensi hizi kwa herufi ndogo. Mfano: MBOGA ZIMEIVA – mboga zimeiva a) BISKUTI HUHARIBU MENOAnswer: biskuti huharibu meno
- Question 20: b) SHULENI KUNA MAKTABAAnswer: shuleni kuna maktaba
- Question 21: Taja vyombo viwili vya usafiri. Mfano: PikipikiAnswer: gari, baiskeli
- Question 22: Unda maneno yenye sauti zifuatazo. a) ch –Answer: chai
- Question 23: b) dh –Answer: dhahabu
- Question 24: KUANDIKA IMLA: Andika sentensi tano utakazosomewa na mwalimu. Sentensi ya 1Answer: Mama ananunua mkate.
- Question 25: Sentensi ya 2Answer: Ninapenda kula chungwa.
- Question 26: Sentensi ya 3Answer: Baba anakunywa chai.
- Question 27: Sentensi ya 4Answer: Mwalimu wetu ni mpole.
- Question 28: Sentensi ya 5Answer: Tunacheza mpira shuleni.
- Question 29: KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA a) Unapenda kula chakula gani?Answer: Ninapenda kula wali.
- Question 30: b) Unapenda kunywa nini asubuhi?Answer: Ninapenda kunywa chai.
- Question 31: c) Kwa nini watu hula chakula?Answer: Watu hula chakula ili wapate nguvu na wakue.
- Question 32: d) Taja vyakula viwili unavyopenda.Answer: Wali na maharagwe.
- Question 33: KUSOMA KWA SAUTI Soma hadithi hii kwa sauti.Answer: Hapo zamani za kale waliishi Ng'ombe watano waliokuwa marafiki. Kila siku walienda malishoni pamoja. Siku…