naQonda

CBC Grade 2 Kiswahili Opener Exam Term 2 2026 · Question 33

KUSOMA KWA SAUTI Soma hadithi hii kwa sauti.

From Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2026 · 10 marks · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Sauti

Hapo zamani za kale waliishi Ng'ombe watano waliokuwa marafiki. Kila siku walienda malishoni pamoja. Siku moja Simba aliwaona na kutaka kuwashambulia. Ng'ombe walipomwona Simba walishirikiana kumpiga hadi akaogopa na kukimbia. Tangu siku hiyo Simba aliwaogopa. Kweli, umoja ni nguvu.

12. KUSOMA KWA SAUTI
Soma hadithi hii kwa sauti.

Answer

Hapo zamani za kale waliishi Ng'ombe watano waliokuwa marafiki. Kila siku walienda malishoni pamoja. Siku moja Simba aliwaona na kutaka kuwashambulia. Ng'ombe walipomwona Simba walishirikiana kumpiga hadi akaogopa na kukimbia. Tangu siku hiyo Simba aliwaogopa. Kweli, umoja ni nguvu.

Soma kila neno wazi, simama kwenye kitone na usome kwa kasi ya wastani.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 2 Kiswahili questions from this test