CBC Grade 2 Kiswahili Opener Exam Term 2 2026 · Question 1
UFAHAMU a) Kamila hupenda kusoma ___
From Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2026 · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu
Soma kifungu hiki kisha ujibu maswali.
Kamila hupenda kusoma vitabu vyake. Mara nyingi huketi bustanini akisoma. Huko hupata hewa safi na mwanga mzuri wa jua. Hufurahia kuangalia maua na kusikiliza ndege wakiimba. Pia hula matunda yaliyopo bustanini.
1. UFAHAMU
a) Kamila hupenda kusoma ____
- Agazeti
- Bvitabu
Answer
B. vitabu
Kamila hupenda kusoma vitabu vyake.