naQonda

CBC Grade 2 Kiswahili Opener Exam Term 2 2026 · Question 6

UFAHAMU a) Nyani alimwona nani?

From Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2026 · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu

Soma hadithi ifuatayo kisha ujibu maswali.

Siku moja Nyani alimwona Kinda mwenye ubawa uliovunjika. Kinda hangeweza kuruka. Nyani alikusanya majani na kutengeneza kitanda cha kumlaza. Kisha alimpa matunda ale. Kinda alifurahi sana na akamshukuru Nyani.

2. UFAHAMU
a) Nyani alimwona nani?

Answer

Kinda

Nyani alimwona Kinda mwenye ubawa uliovunjika.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 2 Kiswahili questions from this test