CBC Grade 2 Kiswahili Opener Exam Term 2 2026 · Question 10
e) Kinda alimwambia Nyani nini?
From Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2026 · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu
Soma hadithi ifuatayo kisha ujibu maswali.
Siku moja Nyani alimwona Kinda mwenye ubawa uliovunjika. Kinda hangeweza kuruka. Nyani alikusanya majani na kutengeneza kitanda cha kumlaza. Kisha alimpa matunda ale. Kinda alifurahi sana na akamshukuru Nyani.
e) Kinda alimwambia Nyani nini?
- APole
- BAsante
Answer
B. Asante
Kinda alifurahi na akamshukuru Nyani: alisema "Asante".
More Grade 2 Kiswahili questions from this test
- SARUFI Andika sentensi hizi kwa wingi. Mfano: Mbwa wangu – Mbwa wetu a) Chakula changuQuestion 11
- b) Dawati languQuestion 12
- Andika majina ya picha zilizoonyeshwa. a)Question 13
- Chora vyakula vilivyoagizwa na mwalimu. a. Mayai b. KarotiQuestion 15
- Tumia "huyo" au "hao" kukamilisha sentensi. a) Wazee ___ wanasoma magazeti.Question 16
- b) Dereva ___ ni mpole.Question 17