CBC Grade 2 Kiswahili Opener Exam Term 2 2026 · Question 5
e) Kamila hula ___ bustanini.
From Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2026 · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu
Soma kifungu hiki kisha ujibu maswali.
Kamila hupenda kusoma vitabu vyake. Mara nyingi huketi bustanini akisoma. Huko hupata hewa safi na mwanga mzuri wa jua. Hufurahia kuangalia maua na kusikiliza ndege wakiimba. Pia hula matunda yaliyopo bustanini.
e) Kamila hula ____ bustanini.
- Amaua
- Bmatunda
Answer
B. matunda
Pia hula matunda yaliyopo bustanini.
More Grade 2 Kiswahili questions from this test
- UFAHAMU a) Nyani alimwona nani?Question 6
- b) Ubawa wa Kinda ulikuwa katika hali gani?Question 7
- c) Nyani alitengeneza nini?Question 8
- d) Nyani alimpa Kinda nini?Question 9
- e) Kinda alimwambia Nyani nini?Question 10
- SARUFI Andika sentensi hizi kwa wingi. Mfano: Mbwa wangu – Mbwa wetu a) Chakula changuQuestion 11