CBC Grade 2 Kiswahili Opener Exam Term 2 2026 · Question 7
b) Ubawa wa Kinda ulikuwa katika hali gani?
From Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2026 · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu
Soma hadithi ifuatayo kisha ujibu maswali.
Siku moja Nyani alimwona Kinda mwenye ubawa uliovunjika. Kinda hangeweza kuruka. Nyani alikusanya majani na kutengeneza kitanda cha kumlaza. Kisha alimpa matunda ale. Kinda alifurahi sana na akamshukuru Nyani.
b) Ubawa wa Kinda ulikuwa katika hali gani?
Answer
Ulikuwa umevunjika.
Kinda alikuwa na ubawa uliovunjika.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.