CBC Grade 2 Kiswahili Opener Exam Term 2 2026 · Question 2
b) Yeye husomea wapi?
From Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2026 · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu
Soma kifungu hiki kisha ujibu maswali.
Kamila hupenda kusoma vitabu vyake. Mara nyingi huketi bustanini akisoma. Huko hupata hewa safi na mwanga mzuri wa jua. Hufurahia kuangalia maua na kusikiliza ndege wakiimba. Pia hula matunda yaliyopo bustanini.
b) Yeye husomea wapi?
- Asebuleni
- Bbustanini
Answer
B. bustanini
Mara nyingi huketi bustanini akisoma.