CBC Grade 2 Kiswahili Opener Exam Term 2 2026 · Question 3
c) Nani huimba kwa sauti nzuri?
From Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2026 · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu
Soma kifungu hiki kisha ujibu maswali.
Kamila hupenda kusoma vitabu vyake. Mara nyingi huketi bustanini akisoma. Huko hupata hewa safi na mwanga mzuri wa jua. Hufurahia kuangalia maua na kusikiliza ndege wakiimba. Pia hula matunda yaliyopo bustanini.
c) Nani huimba kwa sauti nzuri?
- AKamila
- Bndege
Answer
B. ndege
Kamila husikiliza ndege wakiimba.