CBC Grade 1 Kiswahili Revision Exam 2026: Revision 7 (2026)
Kiswahili — Revision 7 (2026) · Revision 7 (2026) · 36 questions
Topics: Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma, Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kuandika.
All 36 questions with answers
- Question 1: Hujambo?Answer: Sijambo.
- Question 2: Rafiki yako anaitwa nani?Answer: Rafiki yangu anaitwa Baraka.
- Question 3: Je, wewe hucheza mchezo gani na rafiki yako wakati wa mapumziko?Answer: Mimi hucheza kuruka kamba.
- Question 4: Taja sehemu moja ya mwili wako.Answer: Mkono.
- Question 5: Je, wewe ukioga hutumia nini?Answer: Mimi hutumia sabuni na maji.
- Question 6: Soma kifungu hiki kwa sauti.Answer: Mimi huenda bafuni kuoga kila asubuhi. Huwa natumia sabuni, maji na sponji ya kuoga. Baada ya kuoga, mimi,…
- Question 7: Sungura ni mnyama wa aina gani?Answer: mjanja
- Question 8: Sungura ana masikio ___Answer: marefu
- Question 9: Sungura hupenda kula nini?Answer: majani, nyasi na karoti
- Question 10: Sungura ana ___ yenye nguvu inayomwezesha kuruka haraka.Answer: miguu
- Question 11: Kwa nini sungura huwa mwangalifu?Answer: kwa sababu anaogopa wanyama wakali
- Question 12: Tumia -angu- kujaza nafasi Mf. Mkono - wangu 6. MguuAnswer: wangu
- Question 13: KiatuAnswer: changu
- Question 14: GariAnswer: langu
- Question 15: Jaza nafasi ukitumia -zuri au -baya 9. Watoto ___ wanapendwa.Answer: B. wazuri
- Question 16: Maji ___ huleta magonjwa.Answer: B. mabaya
- Question 17: Tabia ___ hufurahisha mwalimu.Answer: B. nzuri
- Question 18: Andika majina ya picha. a)Answer: B. sita
- Question 19: b)Answer: A. panga
- Question 20: c)Answer: C. kijiko
- Question 21: Andika kwa herufi kubwa au ndogo. 13. MTOTOAnswer: mtoto
- Question 22: nyumbaAnswer: NYUMBA
- Question 23: ZAWADIAnswer: zawadi
- Question 24: Andika wingi wa maneno haya. 16. DarasaAnswer: madarasa
- Question 25: MwanafunziAnswer: wanafunzi
- Question 26: MkonoAnswer: mikono
- Question 27: Jibu maamkuzi haya. 19. Habari?Answer: B. njema
- Question 28: Hujambo?Answer: A. sijambo
- Question 29: Shikamoo?Answer: C. marahaba
- Question 30: Kanusha sentensi hizi. 22. Mimi ninacheza.Answer: Mimi sichezi.
- Question 31: Mimi ninasoma.Answer: Mimi sisomi.
- Question 32: 1.Answer: Mimi ni mwanafunzi.
- Question 33: 2.Answer: Ninapenda shule yangu.
- Question 34: 3.Answer: Mama anapika chakula.
- Question 35: 4.Answer: Baba anaenda kazini.
- Question 36: 5.Answer: Tunacheza mpira.