CBC Grade 1 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 3
Je, wewe hucheza mchezo gani na rafiki yako wakati wa mapumziko?
From Kiswahili — Revision 7 (2026) · 1 mark · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Maamkuzi na Maagano
Mwalimu atakuuliza maswali nawe uyajibu kwa Kiswahili. Sikiliza swali, kisha bonyeza kurekodi na ujibu kwa kuongea.
3. Je, wewe hucheza mchezo gani na rafiki yako wakati wa mapumziko?
🎧 A listening question: open it on naQonda to hear the audio.
Answer
Mimi hucheza kuruka kamba.
Sema mchezo unaoucheza: "Mimi hucheza …"
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.