naQonda

CBC Grade 1 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 9

Sungura hupenda kula nini?

From Kiswahili — Revision 7 (2026) · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu Kifungu

Soma kifungu hiki kisha ujibu maswali.
Sungura ni mnyama mjanja sana. Yeye anapenda kulala. Ana masikio marefu. Sungura hupenda kula majani, nyasi na mboga kama karoti. Yeye ana miguu yenye nguvu inayomwezesha kuruka haraka. Ni mnyama mpole lakini huwa mwangalifu sana kwa sababu anaogopa wanyama wakali.

3. Sungura hupenda kula nini?

Answer

majani, nyasi na karoti

Kifungu kinasema: "Sungura hupenda kula majani, nyasi na mboga kama karoti."

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 1 Kiswahili questions from this test