CBC Grade 1 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 10
Sungura ana ___ yenye nguvu inayomwezesha kuruka haraka.
From Kiswahili — Revision 7 (2026) · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu Kifungu
Soma kifungu hiki kisha ujibu maswali.
Sungura ni mnyama mjanja sana. Yeye anapenda kulala. Ana masikio marefu. Sungura hupenda kula majani, nyasi na mboga kama karoti. Yeye ana miguu yenye nguvu inayomwezesha kuruka haraka. Ni mnyama mpole lakini huwa mwangalifu sana kwa sababu anaogopa wanyama wakali.
4. Sungura ana ____ yenye nguvu inayomwezesha kuruka haraka.
Answer
miguu
Kifungu kinasema: "Yeye ana miguu yenye nguvu."
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.