CBC Grade 1 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 16
Maji ___ huleta magonjwa.
From Kiswahili — Revision 7 (2026) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Matumizi ya -zuri na -baya
Jaza nafasi ukitumia -zuri au -baya
10. Maji ____ huleta magonjwa.
- Amazuri
- Bmabaya
Answer
B. mabaya
Maji mabaya (machafu) huleta magonjwa.