CBC Grade 1 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 11
Kwa nini sungura huwa mwangalifu?
From Kiswahili — Revision 7 (2026) · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu Kifungu
Soma kifungu hiki kisha ujibu maswali.
Sungura ni mnyama mjanja sana. Yeye anapenda kulala. Ana masikio marefu. Sungura hupenda kula majani, nyasi na mboga kama karoti. Yeye ana miguu yenye nguvu inayomwezesha kuruka haraka. Ni mnyama mpole lakini huwa mwangalifu sana kwa sababu anaogopa wanyama wakali.
5. Kwa nini sungura huwa mwangalifu?
Answer
kwa sababu anaogopa wanyama wakali
Kifungu kinasema: "huwa mwangalifu sana kwa sababu anaogopa wanyama wakali."
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 1 Kiswahili questions from this test
- Tumia -angu- kujaza nafasi Mf. Mkono - wangu 6. MguuQuestion 12
- Jaza nafasi ukitumia -zuri au -baya 9. Watoto ___ wanapendwa.Question 15
- Maji ___ huleta magonjwa.Question 16
- Tabia ___ hufurahisha mwalimu.Question 17
- Andika majina ya picha. a)Question 18
- Andika kwa herufi kubwa au ndogo. 13. MTOTOQuestion 21