CBC Grade 1 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 8
Sungura ana masikio ___
From Kiswahili — Revision 7 (2026) · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu Kifungu
Soma kifungu hiki kisha ujibu maswali.
Sungura ni mnyama mjanja sana. Yeye anapenda kulala. Ana masikio marefu. Sungura hupenda kula majani, nyasi na mboga kama karoti. Yeye ana miguu yenye nguvu inayomwezesha kuruka haraka. Ni mnyama mpole lakini huwa mwangalifu sana kwa sababu anaogopa wanyama wakali.
2. Sungura ana masikio ____
Answer
marefu
Kifungu kinasema: "Ana masikio marefu."
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 1 Kiswahili questions from this test
- Sungura hupenda kula nini?Question 9
- Sungura ana ___ yenye nguvu inayomwezesha kuruka haraka.Question 10
- Kwa nini sungura huwa mwangalifu?Question 11
- Tumia -angu- kujaza nafasi Mf. Mkono - wangu 6. MguuQuestion 12
- Jaza nafasi ukitumia -zuri au -baya 9. Watoto ___ wanapendwa.Question 15
- Maji ___ huleta magonjwa.Question 16