CBC Grade 1 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 6
Soma kifungu hiki kwa sauti.
From Kiswahili — Revision 7 (2026) · 10 marks · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufasaha
Mimi huenda bafuni kuoga kila asubuhi. Huwa natumia sabuni, maji na sponji ya kuoga. Baada ya kuoga, mimi, husugua meno yangu. Pia mimi hujipaka mafuta. Baada ya kujipaka mafuta mimi huvaa sare ya shule na viatu.
Soma kifungu hiki kwa sauti.
Answer
Mimi huenda bafuni kuoga kila asubuhi. Huwa natumia sabuni, maji na sponji ya kuoga. Baada ya kuoga, mimi, husugua meno yangu. Pia mimi hujipaka mafuta. Baada ya kujipaka mafuta mimi huvaa sare ya shule na viatu.
Soma kila neno wazi na usimame kidogo kwenye kila kitone.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.