CBC Grade 1 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 5
Je, wewe ukioga hutumia nini?
From Kiswahili — Revision 7 (2026) · 1 mark · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Maamkuzi na Maagano
Mwalimu atakuuliza maswali nawe uyajibu kwa Kiswahili. Sikiliza swali, kisha bonyeza kurekodi na ujibu kwa kuongea.
5. Je, wewe ukioga hutumia nini?
🎧 A listening question: open it on naQonda to hear the audio.
Answer
Mimi hutumia sabuni na maji.
Tunaoga kwa maji na sabuni.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.