CBC Grade 8 Kiswahili Opener Exam Term 1 2025 · Question 29
(b) Eleza mazingira ambamo nyimbo za aina hii huimbwa. (alama 1)
From Kiswahili — Term One Opener Assessment 2025 (Set 3) · 1 mark · Topic: Kusoma, Fasihi Simulizi
FASIHI
Soma wimbo ufuatao kisha ujibu maswali.
Jina lako nani yoyoyo,
Jina langu Pendo yoyoyo,
Unaishi wapi yoyoyo,
Naishi Bondeni yoyoyo,
Wamtaka nani yoyoyo,
Namtaka Lulu yoyoyo,
Japo kuwa humtaki mama nalia,
Cheza tikisa bega, tikisa bega, tikisa bega,
Haya kata mauno, kata mauno, kata mauno.
(b) Eleza mazingira ambamo nyimbo za aina hii huimbwa. (alama 1)
Answer
Huimbwa na watoto wanapocheza pamoja nje, k.m. uwanjani nyumbani jioni au mbalamwezi, au shuleni wakati wa mapumziko.
Nyimbo za watoto huimbwa wakati wa michezo ya watoto, wakikusanyika pamoja nje ya nyumba au shuleni.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- (c) Fafanua sifa tatu za nyimbo za aina hii zinazojitokeza katika wimbo huu. (alama 3)Question 30
- (d) Nyimbo za aina hii ni muhimu katika jamii. Andika mifano miwili ya umuhimu huo. (alama 2)Question 31
- (e) Wimbo huu ni mfano wa aina gani ya fasihi? (alama 1)Question 32
- (f) Taja wahusika wawili katika wimbo huu. (alama 2)Question 33
- Andika aina mbili za mandhari yanayojitokeza katika dondoo hii. (alama 2)Question 34
- Dondoo hii imeshughulikia masuala mbalimbali. Fafanua masuala yoyote mawili kati ya hayo.Question 35