naQonda

CBC Grade 8 Kiswahili Opener Exam Term 1 2025 · Question 32

(e) Wimbo huu ni mfano wa aina gani ya fasihi? (alama 1)

From Kiswahili — Term One Opener Assessment 2025 (Set 3) · 1 mark · Topic: Kusoma, Fasihi Simulizi

FASIHI
Soma wimbo ufuatao kisha ujibu maswali.

Jina lako nani yoyoyo,
Jina langu Pendo yoyoyo,
Unaishi wapi yoyoyo,
Naishi Bondeni yoyoyo,
Wamtaka nani yoyoyo,
Namtaka Lulu yoyoyo,
Japo kuwa humtaki mama nalia,
Cheza tikisa bega, tikisa bega, tikisa bega,
Haya kata mauno, kata mauno, kata mauno.

(e) Wimbo huu ni mfano wa aina gani ya fasihi? (alama 1)

Answer

Fasihi simulizi.

Wimbo huu hupokezwa kwa mdomo kutoka kizazi kimoja hadi kingine na huimbwa mbele ya hadhira, kwa hivyo ni fasihi simulizi.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 8 Kiswahili questions from this test