naQonda

CBC Grade 8 Kiswahili Opener Exam Term 1 2025 · Question 31

(d) Nyimbo za aina hii ni muhimu katika jamii. Andika mifano miwili ya umuhimu huo. (alama 2)

From Kiswahili — Term One Opener Assessment 2025 (Set 3) · 2 marks · Topic: Kusoma, Fasihi Simulizi

FASIHI
Soma wimbo ufuatao kisha ujibu maswali.

Jina lako nani yoyoyo,
Jina langu Pendo yoyoyo,
Unaishi wapi yoyoyo,
Naishi Bondeni yoyoyo,
Wamtaka nani yoyoyo,
Namtaka Lulu yoyoyo,
Japo kuwa humtaki mama nalia,
Cheza tikisa bega, tikisa bega, tikisa bega,
Haya kata mauno, kata mauno, kata mauno.

(d) Nyimbo za aina hii ni muhimu katika jamii. Andika mifano miwili ya umuhimu huo. (alama 2)

Answer

Huwaburudisha watoto. Huwapa watoto mazoezi ya mwili wanapocheza.

Nyimbo za watoto huburudisha, hufunza lugha na hujenga ushirikiano wanapocheza pamoja.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 8 Kiswahili questions from this test