CBC Grade 8 Kiswahili Opener Exam Term 1 2025 · Question 30
(c) Fafanua sifa tatu za nyimbo za aina hii zinazojitokeza katika wimbo huu. (alama 3)
From Kiswahili — Term One Opener Assessment 2025 (Set 3) · 3 marks · Topic: Kusoma, Fasihi Simulizi
FASIHI
Soma wimbo ufuatao kisha ujibu maswali.
Jina lako nani yoyoyo,
Jina langu Pendo yoyoyo,
Unaishi wapi yoyoyo,
Naishi Bondeni yoyoyo,
Wamtaka nani yoyoyo,
Namtaka Lulu yoyoyo,
Japo kuwa humtaki mama nalia,
Cheza tikisa bega, tikisa bega, tikisa bega,
Haya kata mauno, kata mauno, kata mauno.
(c) Fafanua sifa tatu za nyimbo za aina hii zinazojitokeza katika wimbo huu. (alama 3)
Answer
Una maswali na majibu: "Jina lako nani" – "Jina langu Pendo". Una takriri: "yoyoyo" na "tikisa bega, tikisa bega, tikisa bega". Huambatana na miondoko ya mwili: watoto hutikisa bega na kukata mauno.
Nyimbo za watoto huwa na mistari mifupi, lugha rahisi, kurudiarudia, kupokezana (mwimbaji na waitikiaji) na vitendo vya kucheza.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- (d) Nyimbo za aina hii ni muhimu katika jamii. Andika mifano miwili ya umuhimu huo. (alama 2)Question 31
- (e) Wimbo huu ni mfano wa aina gani ya fasihi? (alama 1)Question 32
- (f) Taja wahusika wawili katika wimbo huu. (alama 2)Question 33
- Andika aina mbili za mandhari yanayojitokeza katika dondoo hii. (alama 2)Question 34
- Dondoo hii imeshughulikia masuala mbalimbali. Fafanua masuala yoyote mawili kati ya hayo.Question 35
- Eleza sifa mbili za Subira kulingana na dondoo hii. (alama 2)Question 36