CBC Grade 8 Kiswahili Opener Exam Term 1 2025 · Question 33
(f) Taja wahusika wawili katika wimbo huu. (alama 2)
From Kiswahili — Term One Opener Assessment 2025 (Set 3) · 2 marks · Topic: Kusoma, Fasihi Simulizi
FASIHI
Soma wimbo ufuatao kisha ujibu maswali.
Jina lako nani yoyoyo,
Jina langu Pendo yoyoyo,
Unaishi wapi yoyoyo,
Naishi Bondeni yoyoyo,
Wamtaka nani yoyoyo,
Namtaka Lulu yoyoyo,
Japo kuwa humtaki mama nalia,
Cheza tikisa bega, tikisa bega, tikisa bega,
Haya kata mauno, kata mauno, kata mauno.
(f) Taja wahusika wawili katika wimbo huu. (alama 2)
Answer
Pendo na Lulu.
Wimbo unawataja Pendo ("Jina langu Pendo") na Lulu ("Namtaka Lulu"); mama pia anatajwa.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Andika aina mbili za mandhari yanayojitokeza katika dondoo hii. (alama 2)Question 34
- Dondoo hii imeshughulikia masuala mbalimbali. Fafanua masuala yoyote mawili kati ya hayo.Question 35
- Eleza sifa mbili za Subira kulingana na dondoo hii. (alama 2)Question 36
- Hatufai kukata tamaa kwa sababu ya changamoto za maisha. Jadili kauli hii ukirejelea mfano wa mamaye Subira. (alama 2)Question 37
- Mwandishi wa dondoo hii ametumia mbinu mbalimbali za lugha. Huku ukitolea mifano mwafaka, eleza mbinu zozote tatu kati…Question 38
- Kwa nini Mzee Mati alipata mazao mengi kila msimu? (alama 1)Question 1