naQonda

CBC Grade 8 Kiswahili Opener Exam Term 1 2025 · Question 28

(a) Wimbo huu ni wa aina gani? (alama 1)

From Kiswahili — Term One Opener Assessment 2025 (Set 3) · 1 mark · Topic: Kusoma, Fasihi Simulizi

FASIHI
Soma wimbo ufuatao kisha ujibu maswali.

Jina lako nani yoyoyo,
Jina langu Pendo yoyoyo,
Unaishi wapi yoyoyo,
Naishi Bondeni yoyoyo,
Wamtaka nani yoyoyo,
Namtaka Lulu yoyoyo,
Japo kuwa humtaki mama nalia,
Cheza tikisa bega, tikisa bega, tikisa bega,
Haya kata mauno, kata mauno, kata mauno.

(a) Wimbo huu ni wa aina gani? (alama 1)

Answer

Ni wimbo wa watoto (wimbo wa michezo ya watoto).

Wimbo una maswali na majibu mafupi, kiitikio "yoyoyo" na maagizo ya kucheza (tikisa bega, kata mauno), sifa za nyimbo za watoto wanapocheza.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 8 Kiswahili questions from this test