CBC Grade 8 Kiswahili Opener Exam Term 1 2025 · Question 18
Chagua kadi iliyo na nomino za makundi pekee.
From Kiswahili — Term One Opener Assessment 2025 (Set 3) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Aina za Maneno
18. Chagua kadi iliyo na nomino za makundi pekee.
- AShada, jamii, kikosi
- BMaisha, ugonjwa, fikira
- CKupe, kiwanda, karatasi
- DMarashi, ugali, chai
Answer
A. Shada, jamii, kikosi
Nomino za makundi hutaja vitu vingi kama kitu kimoja: shada (la maua), jamii (ya watu), kikosi (cha askari). Kadi B ina nomino dhahania, C nomino za kawaida, na D nomino za wingi (vitu visivyohesabika).
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Karani alikuwa akiandika barua. Iandike sentensi hii katika wakati ujao hali ya kuendelea. (alama 1)Question 19
- Chagua kitenzi kisaidizi katika sentensi hii. Mtoto huyu huwa anawatii wazazi wake. (alama 1)Question 20
- Kamilisha kwa kutumia ndi-. Sisi ... tuliopanda miti ile. (alama 1)Question 21
- Andika wingi wa sentensi ifuatayo. Bawabu ameufunga mlango vizuri. (alama 1)Question 22
- Kamilisha sentensi ifuatayo kwa usahihi. ... yao haina ... lolote. (doa, ndoa) (alama 1)Question 23
- Kanusha sentensi hii. Maji ya kunywa yalichemshwa. (alama 1)Question 24