CBC Grade 8 Kiswahili Opener Exam Term 1 2025 · Question 20
Chagua kitenzi kisaidizi katika sentensi hii. Mtoto huyu huwa anawatii wazazi wake. (alama 1)
From Kiswahili — Term One Opener Assessment 2025 (Set 3) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Sarufi
20. Chagua kitenzi kisaidizi katika sentensi hii. Mtoto huyu huwa anawatii wazazi wake. (alama 1)
Answer
huwa
Kitenzi kisaidizi husaidia kitenzi kikuu; hapa "huwa" kinasaidia kitenzi kikuu "anawatii".
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Kamilisha kwa kutumia ndi-. Sisi ... tuliopanda miti ile. (alama 1)Question 21
- Andika wingi wa sentensi ifuatayo. Bawabu ameufunga mlango vizuri. (alama 1)Question 22
- Kamilisha sentensi ifuatayo kwa usahihi. ... yao haina ... lolote. (doa, ndoa) (alama 1)Question 23
- Kanusha sentensi hii. Maji ya kunywa yalichemshwa. (alama 1)Question 24
- Andika kauli ya kutendwa ya sentensi ifuatayo. Sogora ameicheza ngoma hii vizuri. (alama 1)Question 25
- Badili sentensi ifuatayo iwe katika hali ya ukubwa. Alimwona nyoka mkubwa katika shamba lake. (alama 1)Question 26