CBC Grade 8 Kiswahili Opener Exam Term 1 2025 · Question 22
Andika wingi wa sentensi ifuatayo. Bawabu ameufunga mlango vizuri. (alama 1)
From Kiswahili — Term One Opener Assessment 2025 (Set 3) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Sarufi
22. Andika wingi wa sentensi ifuatayo.
Bawabu ameufunga mlango vizuri. (alama 1)
Answer
Mabawabu wameifunga milango vizuri.
Bawabu → mabawabu (wa-), ameufunga → wameifunga, mlango → milango (U-I).
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Kamilisha sentensi ifuatayo kwa usahihi. ... yao haina ... lolote. (doa, ndoa) (alama 1)Question 23
- Kanusha sentensi hii. Maji ya kunywa yalichemshwa. (alama 1)Question 24
- Andika kauli ya kutendwa ya sentensi ifuatayo. Sogora ameicheza ngoma hii vizuri. (alama 1)Question 25
- Badili sentensi ifuatayo iwe katika hali ya ukubwa. Alimwona nyoka mkubwa katika shamba lake. (alama 1)Question 26
- Geuza sentensi ifuatayo iwe katika usemi wa taarifa. “Mkutano utafanyika hapa kesho,” chifu aliwaambia wakazi. (alama 1)Question 27
- (a) Wimbo huu ni wa aina gani? (alama 1)Question 28