naQonda

CBC Grade 8 Kiswahili Opener Exam Term 1 2025 · Question 26

Badili sentensi ifuatayo iwe katika hali ya ukubwa. Alimwona nyoka mkubwa katika shamba lake. (alama 1)

From Kiswahili — Term One Opener Assessment 2025 (Set 3) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Sarufi

26. Badili sentensi ifuatayo iwe katika hali ya ukubwa.
Alimwona nyoka mkubwa katika shamba lake. (alama 1)

Answer

Alimwona joka kubwa katika jamba lake.

Ukubwa wa nyoka ni joka na wa shamba ni jamba; kivumishi hufuata ngeli ya ukubwa: joka kubwa, jamba lake.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 8 Kiswahili questions from this test