CBC Grade 8 Kiswahili Opener Exam Term 1 2025 · Question 24
Kanusha sentensi hii. Maji ya kunywa yalichemshwa. (alama 1)
From Kiswahili — Term One Opener Assessment 2025 (Set 3) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Sarufi
24. Kanusha sentensi hii.
Maji ya kunywa yalichemshwa. (alama 1)
Answer
Maji ya kunywa hayakuchemshwa.
Wakati uliopita -li- hukanushwa kwa ha- na -ku-: yalichemshwa → hayakuchemshwa.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Andika kauli ya kutendwa ya sentensi ifuatayo. Sogora ameicheza ngoma hii vizuri. (alama 1)Question 25
- Badili sentensi ifuatayo iwe katika hali ya ukubwa. Alimwona nyoka mkubwa katika shamba lake. (alama 1)Question 26
- Geuza sentensi ifuatayo iwe katika usemi wa taarifa. “Mkutano utafanyika hapa kesho,” chifu aliwaambia wakazi. (alama 1)Question 27
- (a) Wimbo huu ni wa aina gani? (alama 1)Question 28
- (b) Eleza mazingira ambamo nyimbo za aina hii huimbwa. (alama 1)Question 29
- (c) Fafanua sifa tatu za nyimbo za aina hii zinazojitokeza katika wimbo huu. (alama 3)Question 30