CBC Grade 8 Kiswahili Opener Exam Term 1 2025 · Question 23
Kamilisha sentensi ifuatayo kwa usahihi. ... yao haina ... lolote. (doa, ndoa) (alama 1)
From Kiswahili — Term One Opener Assessment 2025 (Set 3) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Sarufi
23. Kamilisha sentensi ifuatayo kwa usahihi.
.................................. yao haina .................................. lolote. (doa, ndoa) (alama 1)
Answer
Ndoa yao haina doa lolote.
"Haina" inakubaliana na ndoa (ngeli ya I-ZI), na "lolote" inakubaliana na doa (ngeli ya LI-YA).
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Kanusha sentensi hii. Maji ya kunywa yalichemshwa. (alama 1)Question 24
- Andika kauli ya kutendwa ya sentensi ifuatayo. Sogora ameicheza ngoma hii vizuri. (alama 1)Question 25
- Badili sentensi ifuatayo iwe katika hali ya ukubwa. Alimwona nyoka mkubwa katika shamba lake. (alama 1)Question 26
- Geuza sentensi ifuatayo iwe katika usemi wa taarifa. “Mkutano utafanyika hapa kesho,” chifu aliwaambia wakazi. (alama 1)Question 27
- (a) Wimbo huu ni wa aina gani? (alama 1)Question 28
- (b) Eleza mazingira ambamo nyimbo za aina hii huimbwa. (alama 1)Question 29