naQonda

CBC Grade 8 Kiswahili Opener Exam Term 1 2025 · Question 19

Karani alikuwa akiandika barua. Iandike sentensi hii katika wakati ujao hali ya kuendelea. (alama 1)

From Kiswahili — Term One Opener Assessment 2025 (Set 3) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Sarufi

19. Karani alikuwa akiandika barua. Iandike sentensi hii katika wakati ujao hali ya kuendelea. (alama 1)

Answer

Karani atakuwa akiandika barua.

Wakati ujao huchukua -ta-, na hali ya kuendelea huonyeshwa kwa "kuwa akiandika": atakuwa akiandika.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 8 Kiswahili questions from this test