naQonda

CBC Grade 8 Kiswahili Opener Exam Term 1 2025 · Question 17

Chagua jibu linalofaa kujaza pengo la 17.

From Kiswahili — Term One Opener Assessment 2025 (Set 3) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ujazaji wa Nafasi (Kiswahili Sanifu)

SARUFI
Soma kifungu kifuatacho kisha ujaze pengo kwa kuchagua jibu lifaalo zaidi kati ya yale uliyopewa.

Maendeleo ya kiteknolojia __13__ ulimwengu kupiga hatua kubwa. Siku hizi watu __14__ kwa urahisi popote __15__. Hapo zamani, watu walisafiri masafa __16__ __17__ waweze kufikishiana ujumbe muhimu.

17. Chagua jibu linalofaa kujaza pengo la 17.

  1. Aingawa
  2. Blau
  3. Ckwani
  4. Dalmradi

Answer

D. almradi

Watu walisafiri ili waweze kufikishiana ujumbe; almradi (ili mradi) huonyesha lengo hilo. Ingawa, lau na kwani hazileti maana hiyo.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 8 Kiswahili questions from this test