naQonda

CBC Grade 8 Kiswahili Opener Exam Term 1 2025 · Question 16

Chagua jibu linalofaa kujaza pengo la 16.

From Kiswahili — Term One Opener Assessment 2025 (Set 3) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ujazaji wa Nafasi (Kiswahili Sanifu)

SARUFI
Soma kifungu kifuatacho kisha ujaze pengo kwa kuchagua jibu lifaalo zaidi kati ya yale uliyopewa.

Maendeleo ya kiteknolojia __13__ ulimwengu kupiga hatua kubwa. Siku hizi watu __14__ kwa urahisi popote __15__. Hapo zamani, watu walisafiri masafa __16__ __17__ waweze kufikishiana ujumbe muhimu.

16. Chagua jibu linalofaa kujaza pengo la 16.

  1. Amrefu
  2. Bmarefu
  3. Cndefu
  4. Dmirefu

Answer

B. marefu

"Masafa" ni ngeli ya YA-YA (wingi wa ma-), kwa hivyo kivumishi huchukua ma-: masafa marefu.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 8 Kiswahili questions from this test