naQonda

CBC Grade 8 Kiswahili Opener Exam Term 1 2025 · Question 15

Chagua jibu linalofaa kujaza pengo la 15.

From Kiswahili — Term One Opener Assessment 2025 (Set 3) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ujazaji wa Nafasi (Kiswahili Sanifu)

SARUFI
Soma kifungu kifuatacho kisha ujaze pengo kwa kuchagua jibu lifaalo zaidi kati ya yale uliyopewa.

Maendeleo ya kiteknolojia __13__ ulimwengu kupiga hatua kubwa. Siku hizi watu __14__ kwa urahisi popote __15__. Hapo zamani, watu walisafiri masafa __16__ __17__ waweze kufikishiana ujumbe muhimu.

15. Chagua jibu linalofaa kujaza pengo la 15.

  1. Awaliko
  2. Bwalimo
  3. Cwalipo
  4. Dpaliko

Answer

C. walipo

"Popote" ni ya ngeli ya PA (mahali), kwa hivyo kirejeshi chake ni -po-: popote walipo.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 8 Kiswahili questions from this test