CBC Grade 8 Kiswahili Opener Exam Term 3 2026 · Question 44
Mwenzako amekuomba umwonyeshe sentensi yenye kivumishi cha kuonyesha. Utachagua sentensi ipi?
From Kiswahili — Term 3 Opener Assessment 2026 (Set 12) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Aina za Vivumishi
44. Mwenzako amekuomba umwonyeshe sentensi yenye kivumishi cha kuonyesha. Utachagua sentensi ipi?
- AWatoto wazuri wamecheza.
- BGari lake ni jekundu.
- CVitabu hivi vimeibiwa.
- DMiti mirefu imekatwa.
Answer
C. Vitabu hivi vimeibiwa.
‘Hivi’ inaonyesha vitabu vilivyo karibu: ni kivumishi cha kuonyesha. ‘Lake’ ni kivumishi cha kumiliki, na ‘wazuri’ na ‘mirefu’ ni vivumishi vya sifa.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Chagua jibu lenye sentensi iliyoakifishwa ipasavyo.Question 45
- Sentensi, Juma alicheza na mpira, inamaanisha Juma alikuwa akicheza huku mpira ukiwa karibu naye. Chagua jibu lenye…Question 46
- Sentensi zifuatazo zimetumia mbinu mbalimbali za lugha. Chagua sentensi ambayo imetumia tabaini.Question 47
- Chagua jibu lenye maana ya maneno yafuatayo: pendeza, patana.Question 48
- Ni sentensi ipi iliyo katika hali ya udogo?Question 49
- Mwenzako amekuuliza jinsi ya kujenga uhusiano mzuri na wenzako. Chagua methali utakayotumia kumshauri.Question 50