naQonda

CBC Grade 8 Kiswahili Opener Exam Term 3 2026 · Question 45

Chagua jibu lenye sentensi iliyoakifishwa ipasavyo.

From Kiswahili — Term 3 Opener Assessment 2026 (Set 12) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Alama za Uakifishaji

45. Chagua jibu lenye sentensi iliyoakifishwa ipasavyo.

  1. AMama alinunua; sukari, unga, na chumvi.
  2. BMama alinunua: sukari, unga, na chumvi.
  3. CMama alinunua sukari, unga, na chumvi.
  4. DMama alinunua sukari, unga, na chumvi;

Answer

C. Mama alinunua sukari, unga, na chumvi.

Vitu vilivyoorodheshwa hutenganishwa kwa koma na sentensi huishia kwa kitone. Hakuna haja ya nukta mkato wala nukta pacha hapa.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 8 Kiswahili questions from this test