CBC Grade 8 Kiswahili Opener Exam Term 3 2026 · Question 49
Ni sentensi ipi iliyo katika hali ya udogo?
From Kiswahili — Term 3 Opener Assessment 2026 (Set 12) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ukubwa na Udogo
49. Ni sentensi ipi iliyo katika hali ya udogo?
- AKibanda kile kilikuwa kidogo.
- BKitabu kile kimeibiwa.
- CKidole kilikuwa kikubwa.
- DKizuri hicho!
Answer
A. Kibanda kile kilikuwa kidogo.
Kibanda ni hali ya udogo ya banda (banda → kibanda), na sentensi yote inaafikiana na hali hiyo.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Mwenzako amekuuliza jinsi ya kujenga uhusiano mzuri na wenzako. Chagua methali utakayotumia kumshauri.Question 50
- Kulingana na kifungu, mchezo wa bao ni muhimu kwa sababu:Question 1
- Kwa mujibu wa kifungu, ni nini kilichangia heshima ya kijiji hapo awali?Question 2
- Chagua jibu linaloonyesha athari ya maisha ya kisasa kwenye mchezo wa bao.Question 3
- Bainisha umuhimu wa mchezo wa bao kwa wazee kulingana na aya ya tatu.Question 4
- Ni mambo yafuatayo yanaweza kufanywa ili kuhifadhi mchezo wa bao isipokuwa:Question 5