CBC Grade 8 Kiswahili Opener Exam Term 3 2026 · Question 48
Chagua jibu lenye maana ya maneno yafuatayo: pendeza, patana.
From Kiswahili — Term 3 Opener Assessment 2026 (Set 12) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Msamiati
48. Chagua jibu lenye maana ya maneno yafuatayo: pendeza, patana.
- Akupendeza, kukutana
- Bkupenda, kukubaliana
- Ckuvutia, kukubaliana
- Dkuwa mzuri, kukubali
Answer
C. kuvutia, kukubaliana
Kupendeza ni kuvutia, na kupatana ni kukubaliana au kuelewana na wengine.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Ni sentensi ipi iliyo katika hali ya udogo?Question 49
- Mwenzako amekuuliza jinsi ya kujenga uhusiano mzuri na wenzako. Chagua methali utakayotumia kumshauri.Question 50
- Kulingana na kifungu, mchezo wa bao ni muhimu kwa sababu:Question 1
- Kwa mujibu wa kifungu, ni nini kilichangia heshima ya kijiji hapo awali?Question 2
- Chagua jibu linaloonyesha athari ya maisha ya kisasa kwenye mchezo wa bao.Question 3
- Bainisha umuhimu wa mchezo wa bao kwa wazee kulingana na aya ya tatu.Question 4