CBC Grade 8 Kiswahili Opener Exam Term 3 2026 · Question 50
Mwenzako amekuuliza jinsi ya kujenga uhusiano mzuri na wenzako. Chagua methali utakayotumia kumshauri.
From Kiswahili — Term 3 Opener Assessment 2026 (Set 12) · 1 mark · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Methali na Nahau
50. Mwenzako amekuuliza jinsi ya kujenga uhusiano mzuri na wenzako. Chagua methali utakayotumia kumshauri.
- AAda ya mja hunena, mwungwana ni kitendo.
- BHaraka haraka haina baraka.
- CKidole kimoja hakivunji chawa.
- DMpanda ovyo hula ovyo.
Answer
C. Kidole kimoja hakivunji chawa.
“Kidole kimoja hakivunji chawa” inafunza umoja na ushirikiano: tukishirikiana na wenzetu tunajenga uhusiano mzuri.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Kulingana na kifungu, mchezo wa bao ni muhimu kwa sababu:Question 1
- Kwa mujibu wa kifungu, ni nini kilichangia heshima ya kijiji hapo awali?Question 2
- Chagua jibu linaloonyesha athari ya maisha ya kisasa kwenye mchezo wa bao.Question 3
- Bainisha umuhimu wa mchezo wa bao kwa wazee kulingana na aya ya tatu.Question 4
- Ni mambo yafuatayo yanaweza kufanywa ili kuhifadhi mchezo wa bao isipokuwa:Question 5
- Neno kimkakati limetumika katika kifungu. Chagua kisawe cha neno hilo.Question 6